Kuangaliwa upya ufaulu wa kuJiunga Chuo kikuu.

  • da: Happiness Jones
  • destinatario: Waziri wa Elimu Tanzania na wadau wa elimu
Kuanzishwa Kwa ufaulu mpya inabidi uangaliwe upya. Kwani utaathiri watu wengi wenye nia ya kuendelea na masomo. Watanzania wengi including mimi tumesoma, na wanasoma Katika mazingira magumu sana ambayo mengine yameathiri au yanaathiri na kupunguza kiwango Cha ufaulu, Yaani Kama ilikuwa upate first Class unajikuta unapata upper second class na kuendelelea.na Kwa wale wenye uwezo unakuta akiwa shule yeye kila kitu anapata hakuna anachowaza ufaulu wake lazima uwe tofauti na mtoto wa masikini.sasa mnapo mkataa mtu aliyepata G.P.A 3.0 bila ya kuweka alternative mnataka aende wapi?je hamuoni mnacreate taifa la watu Hapo baadae wanaweza kuanzisha tabia Za ajabu? ukikatisha au ukazimisha ndoto za mtu mnategemea inakuwaje?mtu amepata division three unapomnyima nasafi ya kuendelea mnataka aendelee wapi? Binadamu wamegawanyika Katika makundi matatu kiakili. Kundi la juu, kundi la kati na kundi la mwisho.sasa mnapoweka kundi la juu peke yake Ndio wasome na kundi la kati na la mwisho na Ndio ambao NI wengi baada ya miaka 10-20 nchi yetu itakuwa katika wakati gani? Tafadhali tunaomba mliangalie upya kwaajili ya maisha yetu ya baadae.
Firma la petizione
Firma la petizione
JavaScript è disabilitato. Il nostro sito potrebbe non funzionare correttamente.

politiche sulla privacy

Firmando dichiari di accettare i termini del servizio di Care2
Puoi gestire le tue iscrizioni e-mail in qualsiasi momento.

Problemi nel firmare? Contatta il nostro staff.